“Hii mashine unavyoiona wamiliki ni Wachina, nimeiweka hapa kwa ajili ya wateja wangu wa vinywaji, wakija hapa wengine wanapata kinywaji, wengine wanacheza kamari maisha yanaendelea. Tofuti na hapa kwetu, Uganda wafanyabiashara wamiliki wa mashine na mitandao mingine ya michezo ya kamari ni Wachina na Wahindi. Post your function to achiev